Surat Nuh, aya 17

71:17

وَٱللَّهُ أَنۢبَتَكُم مِّنَ ٱلۡأَرۡضِ نَبَاتٗا ١٧

Wallāhu ambatakum minal-ardi nabātā

Na Mwenyezi Mungu amekuotesheni katika ardhi kama mimea. 17

Maelezo ya chini

17 Na Mwenyezi Mungu ndiye aliye kuumbeni kutokana na ardhi, akakuotesheni kama miema kwa njia ya ajabu,