Surat Az-Zukhruf, aya 57

43:57

۞ وَلَمَّا ضُرِبَ ٱبۡنُ مَرۡيَمَ مَثَلًا إِذَا قَوۡمُكَ مِنۡهُ يَصِدُّونَ ٥٧

Walammā duribabnu maryama mathalan idhā qawmuka minhu yasiddūn

Na alipo pigiwa mfano Mwana wa Mariamu, watu wako waliupiga ukelele. 57

Maelezo ya chini

57 Na alipo pigiwa mfano Isa bin Maryam katika kuwa kwake kama Adam kwa kuwa Mwenyezi Mungu alimuumba kwa udongo, kisha akamwambia: Kuwa, na akawa, subhanallah. Basi yeye ni mtumwa aliye umbwa, aliye neemeshwa kwa kupewa Unabii, subhanallah. Haifai kumuabudu badala ya Mwenyezi Mungu. Na watu wako wanapuuza hizo sifa zinazo pigiwa mfano, na wala hawafahamu.