Surat Az-Zukhruf, aya 56

43:56

فَجَعَلۡنَٰهُمۡ سَلَفٗا وَمَثَلٗا لِّلۡأٓخِرِينَ ٥٦

Faja'alnāhum salafan wamathalal lil-ākhirīn

Walipo tukasirisha tuliwapatiliza tukawazamisha wote! 56

Maelezo ya chini

56 Tukamfanya Firauni na kaumu yake kuwa ni viongozi wa makafiri wa baada yao katika kustahiki mfano wa adhabu yao, na kuwa ni masimulizi ya namna ya ajabu ya watu wote kuyazingatia.