Surat At-Takwir, aya 8

81:8

وَإِذَا ٱلۡمَوۡءُۥدَةُ سُئِلَتۡ ٨

Wa idhal-maw'ūdatu su'ilat

Na msichana aliye zikwa hai atapo ulizwa! 8

Maelezo ya chini

8 Na mtoto wa kike aliye zikwa hai, akaulizwa kwa kumliwaza yeye, na kumshutumu aliye mzika hai,