عَلِمَتۡ نَفۡسٞ مَّآ أَحۡضَرَتۡ ١٤
'Alimat nafsum mā ahdarat
Kila nafsi itajua ilicho kihudhurisha. 14
Maelezo ya chini
14 Yatakapo tokea yote hayo, basi hapo tena kila nafsi itajua nini iliyo tanguliza, ikiwa kheri au shari.