Surat At-Takwir, aya 15

81:15

فَلَآ أُقۡسِمُ بِٱلۡخُنَّسِ ١٥

Falā uqsimu bil-khunnas

Naapa kwa nyota zinapo rejea nyuma, 15

Maelezo ya chini

15 Naapa kiapo cha mkazo kwa nyota ambazo zinanywea zinapo chomoza, na hapo mwanga wake huwa khafifu,