Surat At-Takwir, aya 10

81:10

وَإِذَا ٱلصُّحُفُ نُشِرَتۡ ١٠

Wa idhas-suhufu nushirat

Na madaftari yatakapo enezwa, 10

Maelezo ya chini

10 Na nyaraka zilizo andikwa ndani vitendo vya watu zikakunjuliwa wakati wa hisabu.