أَوۡ يُزَوِّجُهُمۡ ذُكۡرَانٗا وَإِنَٰثٗاۖ وَيَجۡعَلُ مَن يَشَآءُ عَقِيمًاۚ إِنَّهُۥ عَلِيمٞ قَدِيرٞ ٥٠
Aw yuzawwijuhum dhukrānan wa ināthan wayaj'alu man yashā'u 'aqīman innahū 'alīmun qadīr
Au huwachanganya wanaume na wanawake, na akamfanya amtakaye tasa. Hakika Yeye ni Mjuzi Mwenye uweza. 50
Maelezo ya chini
50 Na Yeye Subhanahu humfadhili amtakaye kwa kumchanganyia wanaume na wanawake, na akamfanya amtakaye bila ya mtoto yeyote. Hakika Mwenyezi Mungu anajua vyema kila kitu. Ni Muweza wa kutenda kila akitakacho.