Surat Ash-Shura, aya 35

42:35

وَيَعۡلَمَ ٱلَّذِينَ يُجَٰدِلُونَ فِيٓ ءَايَٰتِنَا مَا لَهُم مِّن مَّحِيصٖ ٣٥

Waya'lamal-ladhīna yujādilūna fī āyātinā mā lahum mim mahīs

Na ili wajue wanao jadiliana katika Ishara zetu kwamba hawana pahala pa kukimbilia. 35

Maelezo ya chini

35 Mwenyezi Mungu, Subhanahu, hufanya hayo ili Waumini wapate kuzingatia, na wajue wale wanao zirudi Ishara zake kwa upotovu kwamba wao wamo katika mkono wake, wala hawana pa kuikimbia adhabu yake.