وَبُرِّزَتِ ٱلۡجَحِيمُ لِلۡغَاوِينَ ٩١
Waburrizatil-jahīmu lil-ghāwīn
Na Jahannamu itadhihirishwa kwa wapotovu. 91
Maelezo ya chini
91 Na Moto utaletwa mbele ya walio iacha Dini ya Haki, mpaka ndimi zake zikaribie kuwanyakua, nao watakuwa majutoni.