وَقِيلَ لَهُمۡ أَيۡنَ مَا كُنتُمۡ تَعۡبُدُونَ ٩٢
Waqīla lahum ayna mā kuntum ta'budūn
Na wataambiwa: Wako wapi mlio kuwa mkiwaabudu 92
Maelezo ya chini
92 Wakaambiwa kwa kuwatahayarisha: Iko wapi hiyo miungu yenu mliyo kuwa mkiiabudu badala ya Mwenyezi Mungu?