وَأُزۡلِفَتِ ٱلۡجَنَّةُ لِلۡمُتَّقِينَ ٩٠
Wa uzlifatil-jannatu lil-muttaqīn
Na Pepo itasogezwa kwa wachamngu. 90
Maelezo ya chini
90 Na Pepo itajongezwa, na itakaribishwa pahala pa watu wema. Basi wataiendea wale walio jikinga na ukafiri na maasi, na wakaikubali Imani na ut'iifu duniani.