Surat Ash-Shu'ara, aya 88

26:88

يَوۡمَ لَا يَنفَعُ مَالٞ وَلَا بَنُونَ ٨٨

Yawma lā yanfa'u mālun walā banūn

Siku ambayo kwamba mali hayato faa kitu wala wana. 88

Maelezo ya chini

88 Siku ambayo hapana mtu ataye nafiika kwa mali ayatoe, au kwa wana wamsaidie.