إِلَّا مَنۡ أَتَى ٱللَّهَ بِقَلۡبٖ سَلِيمٖ ٨٩
Illā man atallāha biqalbin salīm
Isipo kuwa mwenye kumjia Mwenyezi Mungu na moyo safi. 89
Maelezo ya chini
89 Isipo kuwa aliye kuwa Muumini, na akamkabili Mwenyezi Mungu na moyo ulio mzima, hauna maradhi ya ukafiri, na unaafiki, na riya (kujionesha).