وَلَا تُخۡزِنِي يَوۡمَ يُبۡعَثُونَ ٨٧
Walā tukhzinī yawma yub'athūn
Wala usinihizi Siku watapo fufuliwa. 87
Maelezo ya chini
87 Wala usinitie aibu au hizaya mbele ya watu, Siku watapo tolewa makaburini kwa ajili ya hisabu na malipo.