Surat Ash-Shu'ara, aya 85

26:85

وَٱجۡعَلۡنِي مِن وَرَثَةِ جَنَّةِ ٱلنَّعِيمِ ٨٥

Waj'alnī min warathati jannatin-na'īm

Na unijaalie katika warithi wa Bustani za neema. 85

Maelezo ya chini

85 Na nijaalie katika waja wako ulio watunukia neema za Peponi, kuwa ni malipo kwa sababu ya Imani yao kukuamini Wewe, na ibada yao kukuabudu Wewe.