ٱلَّذِي خَلَقَنِي فَهُوَ يَهۡدِينِ ٧٨
Alladhī khalaqanī fahuwa yahdīn
Ambaye ndiye aliye niumba, na Yeye ndiye ananiongoa, 78
Maelezo ya chini
78 Ambae ndiye aliye nizua kabla sijawa chochote akaniumba kwa bora ya umbo, na akanitunukia uwongofu wa kunifikishia kwenye mafanikio yangu ya duniani na Akhera.