Surat Ash-Shu'ara, aya 77

26:77

فَإِنَّهُمۡ عَدُوّٞ لِّيٓ إِلَّا رَبَّ ٱلۡعَٰلَمِينَ ٧٧

Fa innahum 'aduwwul lī illā rabbal-'ālamīn

Kwani hakika hao ni adui zangu, isipo kuwa Mola Mlezi wa walimwengu wote. 77

Maelezo ya chini

77 Kwani hakika hao mnao waabudu badala ya Mwenyezi Mungu ni maaadui kwangu mimi na kwenu. Basi mimi siwaabudu hao. Lakini ninaye muabudu na najijongeza kwake ni Muumba wa walimwengu wote, na Mwenye kumiliki mambo yao, na Mwenye kuwalinda.