Surat Ash-Shu'ara, aya 73

26:73

أَوۡ يَنفَعُونَكُمۡ أَوۡ يَضُرُّونَ ٧٣

Aw yanfa'ūnakum aw yadurrūn

Au yanakufaeni, au yanakudhuruni? 73

Maelezo ya chini

73 Au yanakuleteeni manufaa mnapo yat'ii? Au yanakupatilizeni kwa madhara mkiyaasi?