Surat Ash-Shu'ara, aya 70

26:70

إِذۡ قَالَ لِأَبِيهِ وَقَوۡمِهِۦ مَا تَعۡبُدُونَ ٧٠

Idh qāla li abīhi waqawmihī mā ta'budūn

Alipo mwambia baba yake na kaumu yake: Mnaabudu nini? 70

Maelezo ya chini

70 Alipo mwambia baba yake: Mnaabudu kitu gani hichi, ambacho hakifai kuabudiwa? Anakusudia kwa hayo kuyakebehi masanamu.