Surat Ash-Shu'ara, aya 69

26:69

وَٱتۡلُ عَلَيۡهِمۡ نَبَأَ إِبۡرَٰهِيمَ ٦٩

Watlu 'alayhim naba'a ibrāhīm

Na wasomee khabari za Ibrahim. 69

Maelezo ya chini

69 Ewe Mtume! Na wasomee makafiri hadithi ya Ibrahim , Alayhi Ssalaam.