Surat Ash-Shu'ara, aya 71

26:71

قَالُواْ نَعۡبُدُ أَصۡنَامٗا فَنَظَلُّ لَهَا عَٰكِفِينَ ٧١

Qālū na'budu asnāman fanazallu lahā 'ākifīn

Wakasema: Tunaabudu masanamu, daima tunayanyenyekea. 71

Maelezo ya chini

71 Wakasema kujibu kwa njia ya kujitapa: Tunaabudu masanamu, nasi tunadumu daima dawamu tukiyaabudu, kwa kuyaadhimisha na kuyatukuza!