Surat Ash-Shu'ara, aya 64

26:64

وَأَزۡلَفۡنَا ثَمَّ ٱلۡأٓخَرِينَ ٦٤

Wa azlafnā thammal-ākharīn

Na tukawajongeza hapo wale wengine. 64

Maelezo ya chini

64 Tukawajongeza Firauni na kaumu yake mpaka wakaingia kwenye zile njia nyuma ya Musa na kaumu yake.