Surat Ash-Shu'ara, aya 65

26:65

وَأَنجَيۡنَا مُوسَىٰ وَمَن مَّعَهُۥٓ أَجۡمَعِينَ ٦٥

Wa anjaynā mūsā wamam ma'ahū ajma'īn

Tukawaokoa Musa na walio kuwa pamoja naye wote. 65

Maelezo ya chini

65 Tukamwokoa Musa na walio kuwa pamoja naye kwa hifadhi ya bahari nayo imeshikamana, mpaka wakamalizika kuvuka.