Surat Ash-Shu'ara, aya 50

26:50

قَالُواْ لَا ضَيۡرَۖ إِنَّآ إِلَىٰ رَبِّنَا مُنقَلِبُونَ ٥٠

Qālū lā dayra innā ilā rabbinā munqalibūn

Wakasema: Haidhuru, kwani sisi ni wenye kurejea kwa Mola wetu Mlezi. 50

Maelezo ya chini

50 Wachawi wakasema: Hapana la kutudhuru sisi kwa adhabu unazo tutishia, kwani sisi ni wenye kurejea kwenye malipo ya Mola wetu Mlezi. Na Yeye ndiye mbora wa kulipa na mbora wa kuadhibu.