أَلَمۡ تَرَ أَنَّهُمۡ فِي كُلِّ وَادٖ يَهِيمُونَ ٢٢٥
Alam tara annahum fī kulli wādin yahīmūn
Je! Huwaoni kwamba wao wanatangatanga katika kila bonde? 225
Maelezo ya chini
225 Kwani huwaoni vile wanavyo tangatanga katika mabonde ya maneno wala hawaongoki kwenye Haki?