Surat Ash-Shu'ara, aya 226

26:226

وَأَنَّهُمۡ يَقُولُونَ مَا لَا يَفۡعَلُونَ ٢٢٦

Wa annahum yaqūlūna mā lā yaf'alūn

Na kwamba wao husema wasiyo yatenda? 226

Maelezo ya chini

226 Na kwamba wao husema kwa ndimi zao wasio yaambatisha na vitendo vyao?