وَتَقَلُّبَكَ فِي ٱلسَّٰجِدِينَ ٢١٩
Wataqallubaka fis-sājidīn
Na mageuko yako kati ya wanao sujudu. 219
Maelezo ya chini
219 Na anaona mwendo wako kati ya wanao sali, kwa kusimama, na kukaa, na kurukuu na kusujudu, pale unapo waongoza katika Swala.