Surat Ash-Shu'ara, aya 218

26:218

ٱلَّذِي يَرَىٰكَ حِينَ تَقُومُ ٢١٨

Alladhī yarāka hīna taqūm

Ambaye anakuona unapo simama, 218

Maelezo ya chini

218 Ambaye anakuona pale unapo simama kwa ibada za usiku na vitendo vyote vya kheri.