Surat Ash-Shu'ara, aya 201

26:201

لَا يُؤۡمِنُونَ بِهِۦ حَتَّىٰ يَرَوُاْ ٱلۡعَذَابَ ٱلۡأَلِيمَ ٢٠١

Lā yu'minūna bihī hattā yarawul-'adhābal-alīm

Hawataiamini mpaka waione adhabu chungu. 201

Maelezo ya chini

201 Basi hapana njia ya wao kuacha tabia yao ya ukafiri mpaka wateseke kwa hiyo adhabu kali walio ahidiwa.