Surat Ash-Shu'ara, aya 202

26:202

فَيَأۡتِيَهُم بَغۡتَةٗ وَهُمۡ لَا يَشۡعُرُونَ ٢٠٢

Faya'tiyahum baghtatan wahum lā yash'urūn

Basi itawafikia kwa ghafla, na hali hawana khabari. 202

Maelezo ya chini

202 Itawateremkia adhabu kwa ghafla bila ya kuitaraji, wala wao hawajui kama inakuja.