Surat Ash-Shu'ara, aya 200

26:200

كَذَٰلِكَ سَلَكۡنَٰهُ فِي قُلُوبِ ٱلۡمُجۡرِمِينَ ٢٠٠

Kadhālika salaknāhu fī qulūbil-mujrimīn

Namna hivi tunaingiza katika nyoyo za wakosefu. 200

Maelezo ya chini

200 Sisi tumekutia huko kukanusha katika nyoyo za wakosefu; na tumekuthibitisha kama tulivyo kuthibitisha katika nyoyo za wenye sifa kama zao.