Surat Ash-Shu'ara, aya 199

26:199

فَقَرَأَهُۥ عَلَيۡهِم مَّا كَانُواْ بِهِۦ مُؤۡمِنِينَ ١٩٩

Faqara'ahū 'alayhim mā kānū bihī mu'minīn

Na akawasomea, wasingeli kuwa wenye kuamini. 199

Maelezo ya chini

199 Na angeli wasomea baraabara kinyume na ada bado wangeli mkanusha, na wakapatia kisababu kwa ukafiri wao.