وَلَوۡ نَزَّلۡنَٰهُ عَلَىٰ بَعۡضِ ٱلۡأَعۡجَمِينَ ١٩٨
Walaw nazzalnāhu 'alā ba'dil-a'jamīn
Na lau kuwa tungeli iteremsha juu ya mmoja wa wasio kuwa Waarabu,. 198
Maelezo ya chini
198 Na lau tungeli mteremshia mtu asiye kuwa Mwaarabu, anaye weza kusema Kiarabu lakini si kwa ufasihi, wasingeli waza kumtuhumu kuwa kaizua.