وَإِنَّهُۥ لَفِي زُبُرِ ٱلۡأَوَّلِينَ ١٩٦
Wa innahū lafī zuburil-awwalīn
Na hakika bila ya shaka haya yamo katika Vitabu vya kale. 196
Maelezo ya chini
196 Na hakika kuitaja Qur'ani na kueleza kuwa inatoka kwa Mwenyezi Mungu kumteremshia Muhammad s.a.w. yametajwa katika Vitabu vya Manabii walio tangulia.