بِلِسَانٍ عَرَبِيّٖ مُّبِينٖ ١٩٥
Bilisānin 'arabiyyim mubīn
Kwa ulimi wa Kiarabu ulio wazi. 195
Maelezo ya chini
195 Jibril amekuteremshia kwa lugha ya Kiarabu, yenye maana wazi, yenye hoja zilizo dhaahiri kwa wanayo hitajia ya kutengeneza mambo yao ya dunia na Dini.