Surat Ash-Shu'ara, aya 194

26:194

عَلَىٰ قَلۡبِكَ لِتَكُونَ مِنَ ٱلۡمُنذِرِينَ ١٩٤

'Alā qalbika litakūna minal-mundhirīn

Juu ya moyo wako, ili uwe katika Waonyaji,. 194

Maelezo ya chini

194 Juu ya moyo wako ulio tulia kuihifadhi na kuifahamu, na idhibitike katika moyo wako iwe madhubuti isisahaulike, ili upate kuwaonya wakhalifu kwa adhabu ziliomo ndani yake.