Surat Ash-Shu'ara, aya 161

26:161

إِذۡ قَالَ لَهُمۡ أَخُوهُمۡ لُوطٌ أَلَا تَتَّقُونَ ١٦١

Idh qāla lahum akhūhum lūtun alā tattaqūn

Alipo waambia ndugu yao, Luut'i: Je! Hamumchimngu?. 161

Maelezo ya chini

161 Ewe Mtume! Watajie watu wako pale Lut'i alipo waambia watu wake, naye ni ndugu yao na shemeji yao: