إِنِّي لَكُمۡ رَسُولٌ أَمِينٞ ١٦٢
Innī lakum rasūlun amīn
Hakika mimi kwenu ni Mtume muaminifu kwenu. 162
Maelezo ya chini
162 Hakika mimi nimetumwa kwenu na Mwenyezi Mungu nikuleteeni Dini ya Haki. Nami ni muaminifu wa kuifikisha Dini hii.