Surat Ash-Shu'ara, aya 160

26:160

كَذَّبَتۡ قَوۡمُ لُوطٍ ٱلۡمُرۡسَلِينَ ١٦٠

Kaddhabat qawmu lūtinil-mursalīn

Watu wa Luut'i waliwakanusha Mitume. 160

Maelezo ya chini

160 Alipo waita Luut'i watu wake wamuabudu Mwenyezi Mungu pekee, na waache ushirikina, waliwakanusha Mitume wote.