Surat Ash-Shu'ara, aya 156

26:156

وَلَا تَمَسُّوهَا بِسُوٓءٖ فَيَأۡخُذَكُمۡ عَذَابُ يَوۡمٍ عَظِيمٖ ١٥٦

Walā tamassūhā bisū'in faya'khudhakum 'adhābu yawmin 'azīm

Wala ms!imguse kwa uwovu, isije ikakushikeni adhabu ya Siku Kubwa. 156

Maelezo ya chini

156 Wala msimletee madhara yoyote huyu ngamia, msije mkahiliki kwa adhabu kubwa.