Surat Ash-Shu'ara, aya 157

26:157

فَعَقَرُوهَا فَأَصۡبَحُواْ نَٰدِمِينَ ١٥٧

Fa'aqarūhā fa asbahū nādimīn

Lakini wakamuuwa, na wakawa wenye kujuta. 157

Maelezo ya chini

157 Wakamchinja ngamia, kinyume na walivyo wafikiana na Swaleh. Kwa hivyo wakastahiki kuwashukia adhabu, wakawa ni wenye kujuta kwa kitendo chao hicho.