Surat Ash-Shu'ara, aya 152

26:152

ٱلَّذِينَ يُفۡسِدُونَ فِي ٱلۡأَرۡضِ وَلَا يُصۡلِحُونَ ١٥٢

Alladhīna yufsidūna fil-ardi walā yuslihūn

Ambao wanafanya ufisadi katika nchi, wala hawatengenezi. 152

Maelezo ya chini

152 Ambao wanapitisha maisha yao katika ardhi kwa uharibifu, wala hawafanyi ya maslaha ya kutengeneza nchi.