قَالُوٓاْ إِنَّمَآ أَنتَ مِنَ ٱلۡمُسَحَّرِينَ ١٥٣
Qālū innamā anta minal-musahharīn
Wakasema: Hakika wewe ni miongoni mwa walio rogwa. 153
Maelezo ya chini
153 Wakasema: Wewe si chochote isipo kuwa miongoni mwa walio rogwa kikweli mpaka zikapotea akili zao. Na katika jawabu hii mna ukali na usafihi.