Surat Ash-Shu'ara, aya 151

26:151

وَلَا تُطِيعُوٓاْ أَمۡرَ ٱلۡمُسۡرِفِينَ ١٥١

Walā tutī'ū amral-musrifīn

Wala msit'ii amri za walio pindukia mipaka,. 151

Maelezo ya chini

151 Wala msiit'ii amri ya walio pindukia mipaka kwa ushirikina na kufuata pumbao na matamanio.