إِذۡ قَالَ لَهُمۡ أَخُوهُمۡ صَٰلِحٌ أَلَا تَتَّقُونَ ١٤٢
Idh qāla lahum akhūhum sālihun alā tattaqūn
Alipo waambia ndugu yao Swaleh: Je! Hamumchimngu? 142
Maelezo ya chini
142 Ewe Mtume! Watajie watu wako, wakati ule kina Thamud walipo ambiwa na ndugu yao kwa uzao na uwananchi, si kwa dini, Swaleh: Hamumwogopi Mwenyezi Mungu, mkamuaabudu Yeye tu?