Surat Ash-Shu'ara, aya 143

26:143

إِنِّي لَكُمۡ رَسُولٌ أَمِينٞ ١٤٣

Innī lakum rasūlun amīn

Hakika mimi kwenu ni Mtume muaminifu. 143

Maelezo ya chini

143 Hakika mimi nimetumwa na Mwenyezi Mungu kwenu kwa mambo yenye kheri yenu na mafanikio yenu. Na mimi ni mwenye kuuhifadhi Ujumbe huu kama nilivyo upokea kwa Mwenyezi Mungu.