فَٱتَّقُواْ ٱللَّهَ وَأَطِيعُونِ ١٣١
Fattaqullāha wa atī'ūn
Basi mcheni Mwenyezi Mungu, na nit'iini. 131
Maelezo ya chini
131 Mwogopeni Mwenyezi Mungu katika kutumia nguvu, Na fuateni amri yangu katika ninayo kuitieni. Kwani hayo hakika ndiyo yatakayo kukufaeni na ndiyo yatakayo dumu zaidi.