وَٱتَّقُواْ ٱلَّذِيٓ أَمَدَّكُم بِمَا تَعۡلَمُونَ ١٣٢
Wattaqul-ladhī amaddakum bimā ta'lamūn
Na mcheni aliye kupeni haya mnayo yajua. 132
Maelezo ya chini
132 Na tahadharini na ghadhabu za Mwenyezi Mungu aliye kukunjulieni neema zake, kwa mnayo yajua yaliyo mbele yenu ya vipawa vyake vya namna mbali mbali.