وَإِذَا بَطَشۡتُم بَطَشۡتُمۡ جَبَّارِينَ ١٣٠
Wa idhā batashtum batashtum jabbārīn
Na mnapo tumia nguvu mnatumia nguvu kwa ujabari. 130
Maelezo ya chini
130 Na mnapo ingia kutesa, mnapita kiasi katika uasi na uvamizi wa jeuri, mnauwa, na mnapiga kwa chuki bila ya huruma.